DADA KEMY, NAWASALIMU KATIKA JINA LA YESU.
Usiweke
machungu ndani ya moyo wako, yanaweza kukusababishia ukawa mbali na
Mungu na kukuletea magojwa. Mtafakari Mungu wakati wa shida zako.
Mwambie Mungu asemi na wewe na uombe nguvu zake zikuujie wakati wa
mapito makali
Furaha hundoa stree na mikunjo ya sura yako ewe mpendwa
Sikia maoni yangu..mtumikie Mungu angali u hai..siku ya kufumba macho hutapata nafasi tena ya kumtangaza Kristo
Matembezi ni bora, hukusaidia kujua yale ambayo ulikuwa huyajui. Hapa nikiwa Arusha kikazi
Nakupenda sana ewe mdau wangu...Nakuomba muda wote uwe ni mtu wa furaha na achana na chuki. Raha jipe mwenyewe
Wakati wa shida na majaribu makali, mtegemee Mungu na usiangalie wanadamu.
Wakati wa shida na majaribu makali, mtegemee Mungu na usiangalie wanadamu.
No comments:
Post a Comment