HEADING ANIMATIONS

HEADING ANIMATIONS

FANYA KAZI YA MUNGU

FANYA KAZI YA MUNGU

Saturday, May 5, 2012



MKESHA WA AFLEWO 2012 WAITIKISA DAR ES SALAAMMkesha ulioandaliwa na AFLEWO ulikuwa ni tishio na gumzo jijini Dar es Salaam, huu ulikuwa ni mkesha katika kanisa la CCC lililoko Uapanga Dar es Salaam. AFLEWO ndio walioandaa mkesha huo.


Watu walibarikiwa sana na uimbaji wenye upako.  Mkesha huu ulikuwa tofauti sana na mikesha ambayo blogger wenu Rulea Sanga nimehudhuria, nilishangazwa sana kuona asilimia 70 hawakuweza kulala usingizi hata kama wachache walionekana kuchoka.

Pastor Safari alisema ipo haja sasa kwa Aflewo kuingia Zanzibar ambako pia wamekuwa na uhutaji Mkubwa wa mambo kama hayo. 

Naye Pastor Abel ambaye naye ni Mlezi wa Aflewo Tanzania alieleza kuna Mtu ameguswa kusafirisha Praise Team 70 kwa ajili ya kwenda Zanzibar wakati utakapokuwa umefika kwa ajili ya Aflewo.


 Hapa ni Upande wa Reception yaani ukiwa unaingia 
 Mapambo yaliyokuwa Mbele kabisa yakionesha Tukio na Theme na Mwaka.
 Blogger Rulea Sanga (kulia) akitabasamu baada ya kuguswa na nguvu za Mungu
 Kiongozi wa Glorious Celebration, Emmanuel Mabisa (kulia) akiyarudi makwaito 

 Mtumishi na mwimbaji Lisu
 Blogger na meneja masoko katika kundi la Glorious Celebration akimtukuza Mungu

 Mchekeshaji Chavala (wa tatu kutoka kulia)
 Blogger maarufu sana Afrika, Samsasali akifurahia jinsi watu wanavyomsifu Mungu


 Watu wakienda Sawa
 Mass Choir
 Kikazi Zaidi
 Hawa ni Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Ya Maandalizi

 Mbele Za Bwana
 Pastor Safari akiongea Usiku wa Jana
 Pastor Safari akiwa na John Kagaruki siku ya leo.
 Wazee Wa Masauti "The Voive" ndani ya Aflewo
 Pastor Deo Lubala akihubiri kwenye Mkesha Wa Aflewo
Pastor Abel na Pastor Lubala Wakimlingana Bwana.

No comments:

Post a Comment