HEADING ANIMATIONS

HEADING ANIMATIONS

FANYA KAZI YA MUNGU

FANYA KAZI YA MUNGU

Thursday, May 10, 2012



MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA, ISAYA MSANGI AFUNGUA BLOG YAKE MPYA INAYOITWA www.isayamsangi.blogspot.com 

Akimshukuru Mungu kwa kumuwezesha kufikia hatua hiyo, Isaya Msangi anapenda wewe kuwa mmoja wa wadau wa blogu yake ambayo itakuwa inaweka habari zake, habari za kikristo na habari za wasanii wanaomtangaza Mungu hapa duniani.

Amesema, kwa njuia ya uimbaji tu ni vigumu sana kufikisha ujumbe kwa watu waliombali na Tanzania, ila kwa kutumia blogu yake anaamini kuwa NENO la Mungu litawafikia hata watu walio mbali ya Tanzania.

Dr. Msangi alimshukuru sana mtengenezaji wa blogu hii anayeitwa Rulea Sanga (Mzee wa Blogu) kama watu wengi wanavyomjua. Ukitaka kumpata wasiliana naye kwa simu +255 85 15 23 au Barua pepe: rumatz2011@yahoo.com na unaweza kutembelea blogu yake 

No comments:

Post a Comment